LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jun 4, 2022

ZIARA YA MAKAMU WA RAIS DK. MPANGO NCHINI SWEDEN, ATINGA UBALOZI WA TANZANIA NCHINI HUMO, LEO

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Philip Mpango akitia saini katika kitabu cha Ofisi ya Balozi wa Tanzania nchini Sweden alipotembelea Ubalozi huo leo Juni 4, 2022. Kushoto ni Balozi wa Tanzania nchini humo Olotu.
 
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Philip Mpango, akizungumza na watumishi wa Ofisi ya Balozi wa Tanzania nchini Sweden, alipotembelea Ubalozi huo leo Juni 4, 2022.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Philip Mpango akiwa katika picha ya pamoja na Balozi wa Tanzania nchini Sweden Grace Olotu, Balozi wa Tanzania nchini Kenya John Simbachawene, Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa kwanza wa  Rais Zanzibar Dk. Omary Shajak na  watumishi wa Ubalozi wa Tanzania nchini Sweden, alipotembelea katika Ubalozi wa Tanzania Mjini Stockholm, nchini humo,leo, Juni 4,  2022

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages