LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jun 4, 2022

SHAKA AZURU KABURI LA RAIS MSTAAFU HAYATI MKAPA KATIKA KIJIJI CHA LUPASO MKOANI MTWARA

Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Itikadi na Uenezi Shaka Hamdu Shaka (kulia) akitoa heshma  mbele ya Kaburi alimozikwa Rais wa awamu ya tatu Hayati Benjamin Mkapa, alipozuru kaburi hilo akiwa na Viongozi mbalimbali, katika Kijiji cha Lupaso, akiwa katika ziara ya kikazi mkoani humo, jana.

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages