BUNGENI
Wizara ya Nishati
Prof Sospeter Muhongo amechangia na kutoa ushauri ufuatao:
(1) Ukuaji wa uchumi wetu uendae na upatikanaji wa umeme mwingi na wa bei nafuu
GDP/Capita:
*US$ 3,000 na MW 10,000 -15,000
*US$ 1,500 na MW 5,000
(2) Tuwe na Vyanzo vingi vya uzalishaji wa umeme - Energy Mix yetu ni: (i) Natural Gas, (ii) Hydro, (iii) Coal na (iv) Renewable Energies (solar, wind na aina nyingine 9)(3) TPDC ibaki kwenye majukumu yake ya kutafuta mafuta na gesi asilia (oil & gas exploration and development)
Tafadhali sikiliza CLIP/VIDEO kutoka Bungeni na imeambatanishwa hapa.
Ofisi ya Mbunge
Jimbo la Musoma Vijijini
www.musomavijijini.or.tz
Tarehe:
1.6.2022
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇