Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Daniel Chongolo akikabidhiwa vifaa maalum kukamilisha kuwa Chifu kutoka kwa Chifu wa Kanadi Wenceslaus Sem, Bariadi mkoani Simiyu.
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Daniel Chongolo amesimikwa rasmi Uchifu na kutambulika kama Kilela Mhina (Mtetezi wa Wanyonge)
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇