Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Tanga, Mhandisi Mwanaisha Ulenge ameiomba serikali kupeleka kwenye vituo vya Afya na Hospitali vifaa vya kupima watoto usikivu ili kupunguza tatizo la mabubu na viziwi ambao idadi yao inaongezeka kila mwaka.
Ametoa ushauri huo wakati wa kipindi cha maswali na majibu bungeni Dodoma Juni 2, 2022.
Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Ulenge akitoa ushauri wake huo....
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇