Mbunge wa Njombe Mjini, Deo Mwanyika ameupambania mradi wa umeme wa Mapembasi ulikwama kuanza kwa muda mrefu kwa kile alichodai ni ukwasi uliopo ndani ya Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO).
Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, akiupambania mradi huo....
IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM
0754264203
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇