LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jun 23, 2022

WAZIRIMKUU MAJALIWA AKAGUA KAZI YA UWEKAJI ALAMA LOLIONDO

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na maofisa na watendaji alipokuwa akikagua kazi ya uwekaji  alama za kubainisha  eneo la hifadhi  lenye ukubwa wa kilomita za mraba 1500 katika eneo la Loliondo wilayani Ngorongoro, Mkoa wa Arusha  Juni 23, 2022.


No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages