LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jun 7, 2022

SERENGETI GIRLS YAPEWA HESHIMA KUBWA BUNGENI+video


 Timu ya Wasichana ya Taifa ya mpira wa miguu ya Serengeti Girls chini ya miaka miaka 17, imepewa heshima kubwa kwa kutambulishwa bungeni huku wachezaji na viongozi wake wakipishwa kukaa kwenye viti ndani ya bunge hilo baada ya kanuni kutenguliwa kuwaruhusu.


Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza/kuona kupitia clip hii ya video, Serengeti Girls wakiruhusiwa kuingia bungeni...

IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA 
 MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM
 0754264203

No comments:

Post a Comment

Tupia Comments👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages