LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jun 23, 2022

MAYENGA AWAJIA JUU WABUNGE WAPOTOSHAJI WA KAZI ZA RAIS+video

 Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Shinyanga, Lucy Mayemba amewajia juu baadhi ya wabunge wanaopotosha utendaji wa Rais na kwamba washindwe na walegee.

Ameayasema hayo alipokuwa akichangia mjadala wa hali ya uchumi wa nchi na Bajeti Kuu ya Serikali bungeni Dodoma Juni 22,2022.

Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Mayenga akiwajia juu wapotoshaji hao...

IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA
 MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM
 0754264203

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages