Mbunge wa Kwimba, Shanif Mansoor ameishauri serikali kwamba maboresho ya uagizaji wa mafuta nje ya nchi yaangalie na nchi sita zinazotuzunguka zinazotegemea pia mafuta hayo. Aidha, Mansoor ameishauri serikali kuongeza bajeti ya usambazaji umeme vijijini ili miradi ikamilishwe ka kasi. Ametoa ushauri huo alipokuwa akichangia mjadala wa makadirio ya Bajeti ya Wizara ya Nishati bungeni Dodoma Juni Mosim 2022.
Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Mansoor akitoa ushauri wake huo...
MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM
0754264203

No comments:
Post a Comment
Tupia Comments👇