Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Daniel Chongolo, Katibu wa NEC Siasa na Uhusiano wa Kimataifa Kanali Mstaafu Ngemela Lubinga (kulia) na Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Kigoma Amandusi Nzamba (kushoto) wakiweka shada la maua kwenye kaburi la aliyekuwa Rais wa Burundi Hayati Pierre Nkurunziza, Gitega nchini humo leo. Nkurunziza alifariki Juni 8, 2020.
Your Ad Spot
Jun 26, 2022
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post Top Ad
Your Ad Spot

No comments:
Post a Comment
Tupia Comments👇