LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jun 5, 2022

KATAMBI: WAPINZANI WANA CHUKI NA MIMI, KISA TUMEWANYANG'ANYA VIJANA WAO WENGI WAMEJIUNGA CCM

Naibu Waziri wa Kazi, Ajira, Vijana na Makundi Maalumu, Mbunge wa Shinyanga Mjini, Patropas Katambi amesema wapinzani wanaeneza chuki na uongo dhidi yake , kisa CCM imewanyang'anya vijana wao wengi.

Ameyasema hayo nmbele ya vyombo vya habari jijini Dodoma Juni 3, 2022.


Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, akilizungumzia jambo hilo....

IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA
 MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM
 0754264203

No comments:

Post a Comment

Tupia Comments👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages