Mbunge wa Viti Maalumu, Martha Jeremiah amempongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan kwa kuuvua urais na kuuvaa uzalendo kuutangaza utalii duniani kupitia filamu ya Royal Tour.
Aidha, ameishauri wizara hiyo kuwavutia watalii kuja nchini kwa kuutangaza utalii kwa kutumia Soko la Kidijitali na watu maarufu duniani.
Ametoa pongezi hizo alipokuwa akichangia mjadala wa makadirio ya Bajeti ya Wizara ya Maliasili na Utalii Juni 3, 2022 bungeni Dodoma.Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video,, akitoa pongezi hizo na ushauri pia....
IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM
0754264203
No comments:
Post a Comment
Tupia Comments👇