Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa ya Afya ya Akili Mirembe, Paul Lawala akizungumza na vyombo vya habari baada ya kupokea matokeo ya ripoti ya utafiti wa kusambaza kwa familia elimu ya saikolojia kusaidia kutibu wagonjwa wa afya ya akili.
Matokeo ya utafiti huo uliofanyika katika mikoa ya Mbeya na Da es Salaam yametolewa katika kikao cha wadau kilichofanyika katika Hospitali ya Taifa ya Afya ya Akili Mirembe jijini Dodoma Juni16,2022.Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Lawala na wadau wengine walioshiriki kwenye utafiti huo wakielezea....
IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM
0754264203
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇