Naibu Waziri Kilimo, Anthony Mavunde leo Juni 19, 2022 ametembelea Wilaya ya Chunya, Kata ya Nkung'ungu kukagua Shamba Ekari 17,000 linalofaa kwa kilimo cha Soya. Mwekezaji tayari ameshapatikana kuwekeza wilayani Chunya. Naibu Waziri ameambatana na Mkuu wa Mkoa, Juma Homera, Mkuu wa Wilaya na Mbunge wa Lupa-Chunya, Masache Kasaka.

No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇