LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jun 2, 2022

DKT MHAGAMA AIOMBA SERIKALI KUMALIZIA KUWEKA UMEME, VIJIJI, VITONGOJI VILIVYOBAKI MADABA+video


 

 Mbunge wa Madaba, Dkt Joseph Mhagama, licha ya kuishukuru serikali kwa asilimia kubwa kuwapelekea umeme, lakini baadhi ya vijiji na vitongoji hadi sasa havijapata umeme hivyo wapeleke haraka umeme katika maeneo hayo, kwani baadhi kikiwemo Kijiji cha Ifinga wanasubiri Krismasi washerehekee wakiwa na umeme.


Ametoa ombi hilo alipokuwa akichangia mjadala wa Bajeti ya Wizara ya Nishati, bungeni Dodoma Juni 2, 2022.

Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, akichangia mjadala huo....

IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA 
MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM 
0754264203

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages