LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jun 24, 2022

AMAR AIOMBA SERIKALI IWALIPE WANANCHI WALIOJERUHIWA NA FISI NYANG'WALE+video

 Mbunge wa Jimbo la Nyang'wale, Hussein Amar akiiomba serikali kuwalipa fidia wananchi waliochwa bila kufidiwa baada kujeruhiwa na Fisi katika jimbo hilo.

Ametoa ombi hilo wakati wa kipindi cha maswali na majibu bungeni Dodoma Juni 24, 2022.

Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Amar akiwapigania waliojeruhiwa na fisi...
IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA 
 MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM
 0754264203

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages