LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

May 3, 2022

RAIS SAMIA ASHIRIKI SWALA YA EID EL FITR JIJINI DAR ES SALAAM, LEO

Rais Samia Suluhu Hassan akitoka katika Msikiti Mkuu wa BAKWATA uliopo Kinondoni Muslim, baada ya kushiriki Swala ya Eid El Fitri pamoja na Waumini wengine wa dini ya Kiislamu Jijini Dar es Salaam, leo Mei 3, 2022.

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages