Kampuni hiyo imedhamini upandaji miti zaidi ya 2000 kupitia Taasisi ya Habari Development.
Upandaji miti ukiendelea Mirembe.
Baadhi ya wanafunzi wakishiriki upandaji miti
Askari wa Jeshi la Kujenga Taifa wakipanda miti.
Waandishi wa habari wakishiriki kupanda miti. Kushoto ni Shaban Tolle wa ITV na Joyce Kasiki wa Majira.
Mwenyekiti wa Taasisi ya Habari Development, Bernard James (aliyevaa shati la bluu katikati) akiwa na Mkurugenzi wa Sheria na Utawala wa Kampuni ya Bakhresa Group, Shani Mligo, viongozi wengine wa Jiji la Dodoma pamoja na askari wa JKT.Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, ujue yaliyojiri katika tukio hilo....IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA
MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM
0754264203
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇