LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

May 13, 2022

MBUNGE NDAKIDEMI AIOMBA SERIKALI KUPELEKA MAJI VIJIJI AMBAVYO TANGU UHURU HAVIJAWAHI PATA MAJI YA BOMBA+video

 

 Mbunge wa Moshi Vijijini, Profesa Patrick Ndakidemi ameipongeza Wizara ya Maji kwa kazi nzuri, lakini pia ameishauri vifaa vya miradi ya maji kununuliwa mapema ili kukamilisha miradi haraka.

Aidha, ameomba serikali kupeleka miradi ya maji katika baadhi ya vijiji jimboni kwake ambavyo tangu uhuru wananchi hawajawahi pata maji ya bomba. Ametoa ushauri na maombi hayo alipokuwa akichangia mjadala wa makadirio ya Bajeti ya wizara hiyo bungeni Dodoma Mei 13, 2022 ambayo imepitishwa na wabunge kwa asilimia mia.

Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Mbunge Ndakidemi akitoa pongezi na ushauri huo....
IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA 
MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM 
0754264203

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages