LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

May 13, 2022

RAIS SAMIA ATUNUKIWA TUZO KWA MCHANGO WAKE WA KUTETEA HAKI ZA BINADAMU NA UTAWALA WA SHERIA

Rais Samia Suluhu Hassan akinyanyua Tuzo aliyopewa na Kituo cha Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC), kuthamini mchango wake wa kutetea Haki za Binadamu na Utawala wa Sheria katika Maadhimisho ya miaka 10 ya Kituo hicho yaliyofanyika katika Ukumbi wa Jengo la  PSSSF Jijini Dar es Salaam, leo Mei 13, 2022.
Rais Samia Suluhu Hassan akikata utepe kuzindua Ripoti ya miaka 10 ya Kituo cha Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania THRDC, katika Maadhimisho ya miaka 10 ya Kituo hicho yaliyofanyika katika Ukumbi wa Jengo la  PSSSF Jijini Dar es Salaam, leo Mei 13, 2022.
Rais Samia Suluhu Hassan akihutubia katika Maadhimsho ya miaka 10 ya Kituo cha Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania THRDC,  yaliyofanyika katika Ukumbi wa Jengo la  PSSSF Jijini Dar es Salaam, leo Mei 13, 2022.
Washiriki wakimsikiliza Rais Samia Suluhu Hassan alipokuwa akihutubia katika Maadhimsho ya miaka 10 ya Kituo cha Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania THRDC,  yaliyofanyika katika Ukumbi wa Jengo la  PSSSF Jijini Dar es Salaam, leo Mei 13, 2022.
Rais Samia Suluhu Hassan akitazama machapisho mbalimbali ya vitabu vilivyokuwa vikionyeshwa katika Maadhimsho ya miaka 10 ya Kituo cha Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania THRDC,  yaliyofanyika katika Ukumbi wa Jengo la  PSSSF Jijini Dar es Salaam, leo Mei 13, 2022. (Picha zote na Ikulu).

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages