LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

May 14, 2022

MWANYIKA: NJOMBE MJINI TUNA MAJI TELE, TATIZO MIUNDOMBINU IMECHAKAA, IJENGWE UPYA+video

 


 Mbunge wa Njombe Mjini, Deo Mwanyika changamoto kubwa inayoongoza katika jimbo lake ni maji hivyo anaiomba serikali kutatua changamoto hiyo ya muda mrefu kwa kujenga miuondombinu mipya.

Ameelezea changamoto hiyo alipokuwa akichangia mjadala wa makadirio ya Bajeti ya Wizara ya Maji bungeni Dodoma Mei 12, 2022.

Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Mwanyika akitoa mchango wake huo....
IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA 
MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM 
0754264203

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages