Mbunge wa Rungwe, Anthon Mwantona ameihoji serikali bungeni ni lini mradi wa maji Tukuyu Mjini utakamilika?
Ameuliza swali hilo wakati wa kipindi cha maswali na majibu bungeni Dodoma Mei 10, 2022 na kujibibiwa na Naibu Waziri wa Maji, Mhandisi Maryprisca Mahundi.Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Mbunge Mwantona akiuliza swali hilo...
IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM
0754264203
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇