Wabunge wakimpongeza Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara, Dkt Ashatu Kijaji na Naibu waziri, Exaud Kigahe mara baada ya Bajeti ya wizara hiyo kupitishwa Bungeni Dodoma leo Mei 9, 2022.
Wazirir wa Uwekezaji , Viwanda na Biashara, Dkt Ashatu Kijaji amesema kuwa moja ya mikataba ambayo wameingia na Jiji la Dalas, Marekani ni bidhaa zote na Tanzania zitakuwa zinapitia katika jiji hilo na kuuzwa Amerika laikini pia Tanzania kuwa kituo kikuu cha Biashara Afrika Mashariki, Kati na Kusini na bidhaa zote kutoka duniani zipitie Bandari ya Dar es Salaam.
Ameyasema hayo alipokuwa akihitimisha mjadala wa Bajeti ya wizara hiyo bungeni Dodoma Mei 9, 2022 .
Waziri, Kijaji akiwa katika picha ya pamoja na watendaji wa wizara hiyo.Waziri Kijaji akiwashukuru watendaji wake kwa kazi nzuri
PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA
MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM
0754264203
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇