Mbunge wa Busanda, Tumaini Magessa ameihoji serikali bungeni ina mkakati gani wa kuanzisha viwanda vidogo vidogo vya kuchakata maziwa vijijini?
Aliuliza swali hilo wakati wa kipindi cha maswali na majibu ambapo Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Abdallah Ulega bungeni Dodoma Mei 10,2022.Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Magessa akihoji jambo hilo....
IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM
0754264203
No comments:
Post a Comment
Tupia Comments👇