LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

May 19, 2022

MAKAMU WA RAIS, DKT MPANGO ATEMBELEA BANDA LA TARI WIKI YA UBUNIFU KITAIFA DODOMA


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt Phillip Mpango (kushoto) akiongozana na Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Adolf Mkenda alipotoka kukagua banda la Taasisi ya Utafiti wa Kilimo Tanzania (TARI) katika Maonesho ya Wiki ya Ubunifu Kitaifa kwenye Uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma.
Dkt Mpango akisikiliza maelezo kutoka kwa Afisa wa TARI.
Makamu wa Rais, Dkt Mpango akifurahishwa  na jambo alipokuwa akikagua banda la TARI.



 PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages