LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

May 19, 2022

ASKOFU MKUU JIMBO KATOLIKI GEITA ATEMBELEA BANDA LA BRELA WIKI YA UBUNIFU

Afisa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA), Godfrey Nyaisa (katikati),  akifafanua jambo kwa Mhasham Askofu Mkuu wa jimbo Katoliki  la Geita na Makamu wa Rais wa Baraza la Maaskofu Tanzania (TEC) Askofu Flavian Matindi Kassala  (kushoto) alipotembelea banda la BRELA lililopo katika uwanja wa Jamhuri katika Maonesho ya Wiki ya kitaifa ya Ubunifu yaliyoanza Mei 15, 2022, yatahitimishwa Mei 20, 2022.


Askofu akitia saini kwenye kitabu cha kumbukumbu








 

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages