LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

May 19, 2022

MFANYAKAZI DIT ABUNI KIFAA CHA KUSAFIRISHIA WATOTO NJITI+video

 Joel Ngushwai wa Taasisi ya Teknolojia Dar es Salaam, akielezea jinsi alivyobuni na kutengeneza kifaa cha kusafirishia (Transport Incubator) na kubebea watoto (Upendo Blanket) njiti wakati wa Maonesho ya Wiki ya Ubunifu Kitaifa kwenye Uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma Mei 18, 2022.

Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza/kuona kupitia clip hii ya video, Joel akielezea jinsi kifaa hicho kinavyofanya kazi...

IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA 
 MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM
 0754264203

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages