LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

May 24, 2022

AMAR: SINTOUNGA MKONO HOJA MPAKA NIAMBIE NI LINI UTEKELEZAJI WA AHADI ZA VIONGOZI UTAANZA?video


 

 


Mbunge wa Jimbo la Nyang'wale mkoani Geita, Hussein Nassor Amar ametishishia kushikilia shilingi mshahara wa Waziri hadi apewe majibu ya kuridhisha ya ni lini ahadi za viongozi tangu 2010 zitatekelezwa kuhusu ujenzi wa barabara utaanza jimboni kwake. Ametoa tishio hilo alipokuwa akichangia majadala wa makadirio ya Bajeti ya Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi bungeni Dodoma Mei 23, 2022.

Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, akishikilia msimamo wake huo...

IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA 
MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM 
0754264203

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages