Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi Wakala wa Umeme Vijijini (REA), Wakili Julius Kalolo akizungumza na vyombo vya habari wakati wa Maonesho ya Taasisi zilizo chini ya Wizara ya Nishati kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma Mei 23, 2022, amesema kuwa wakandarasi wazembe wanawachukulia hatua ikiwemo kuwasitishia mikataba.
Aidha amesema kuwa REA hawawacheleweshei malipo wakandarasi, wakikamilisha taratibu zote huwalipa ndani mwezi mmoja.
Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Wakili Kalolo akielezea mambo mbalimbali yanayofanywa na REA...
IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM
0754264203
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇