Mbunge wa Jimbo la Busanda, Tumaini Magessa ameishauri serikali kuhakikisha daraja la Busisi-Kigongo ujenzi unakamilika kwa muda uliopangwa.
Aidha, ameomba ujenzi wa barabara ya Katoro-Ushirombo uanze haraka na vile vile ujenzi wa Barabara ya Geita hadi Kahama ijengwe kwa kiwango cha lami.
Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, akitoa maombi yake hayo...
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇