Mbunge wa Jimbo la Ludewa, Joseph Kamonga ameiomba Serikali ifanye jitihada za kujenga barabara katika Kata nne za Jimbo la Ludewa ambazo tangu Uhuru hazina na wananchi wa eneo hilo hawajawahi ona gari likipita.
Ameyasema hayo alipokuwa akizungumza na vyombo vya habari kwenye viwanja vya Bunge jijijni Dodoma Aprili 5, 2022.
No comments:
Post a Comment
Tupia Comments👇