Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalumu, Dkt Doroth Gwajima akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari jijini Dodoma leo Machi 28, 2022, kuhusu mafanikio ya mwaka mmoja wa Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan.
Baadhi ya maafisa wa wizara hiyo
Waziri Gwajima akiondoka baada ya kumaliza kuelezea mafanikio hayo.
PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA
Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Waziri Dkt Gwajima akielezea mafanikio hayo.....
IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM
0754264203
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇