Mar 28, 2022

RAIS SAMIA AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA WAZIRI MKUU MSTAAFU WA UINGEREZA TONY BLAIR IKULU, JIJINI DODOMA, LEO

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu akizungumza na Waziri Mkuu Mstaafu wa Uingereza ambaye pia ni Mwenyekiti Mtendaji wa Taasisi ya Mabadiliko Ulimwenguni (Tony Blair Institute for Global Change), Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma, leo.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu akiendelea kuzungumza na Waziri Mkuu Mstaafu wa Uingereza ambaye pia ni Mwenyekiti Mtendaji wa Taasisi ya Mabadiliko Ulimwenguni (Tony Blair Institute for Global Change), Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu akiwa katika picha ya pamoja na Waziri Mkuu Mstaafu wa Uingereza ambaye pia ni Mwenyekiti Mtendaji wa Taasisi ya Mabadiliko Ulimwenguni (Tony Blair Institute for Global Change), Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma.(Picha na Ikulu).
 

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Pages