Barabara ya Kwibara (Kata ya Mugango) - Bwai (Kata ya Kiriba) - Kwikuba (Kata ya Busambara) iko kwenye matengenezo yanayogharimu takribani SHILINGI MILIONI 307 - sehemu ya FEDHA za TOZO (Tsh BILIONI 2) zinazoboresha barabara za Jimbo la Musoma Vijijini.
Barabara hii ni muhimu sana kwa usafirishaji wa SAMAKI kutoka kwenye VIJIJI vyenye WAVUVI wengi.
Tafadhali sikiliza MAONI ya WAVUVI, WAFANYA BIASHARA na VIONGOZI wa eneo la mradi kupitia clip ya video iliyoambatanishwa hapa chini.
.
Ofisi ya Mbunge
Jimbo la Musoma Vijijini
www.musomavijijini.or.tz
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇