Mkuu wa Wilaya ya Same, Edward Mpogoro akizindua kampeni ya upandaji miti katika wilaya yake na kutaka wananchi wote wahamasike kupanda miti kwa wingi na kulinda mazingara yao shughuri hiyo imefanyika leo Same mkoa wa kilimanjaro
Kamishina Msaidizi wa uhifadhi (ACC), Edward Shilogile akipanda mti baada ya kuzinduliwa rasmi kampeni ya upandaji miti katika wilaya Same mkoa wa kilimanjaro
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇