Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Anthony Mtaka ametoa onyo kwa wajumbe wa mabaraza ya ardhi kuwa chanzo cha kuzalisha migogoro ya ardhi kwa wengine kudiriki kuwa madalali badala ya kuwa wasuluhishi wa migogoro katika maeneo yao.
Ametoa onyo hilo alipokuwa akiwaapisha wajumbe 6 wa mabaraza ya ardhi wilaya ya Kongwa na Mpwapwa katika hafla iliyofanyika jijini Dodoma leo Machi 4, 2022.
Katibu Tawala wa Mkoa wa Dodoma, Fatma Maganga akijadiliana jambo na Mkuu wa Wilaya za Kongwa
Mtaka akisisitiza jambo katika hafla hiyo
PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA
Mdau nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video RC Mtaka pamoja na mambo mengine akitoa onyo hilo.....
Mhariri Blog ya Taifa ya CCM 0754264203
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇