LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Mar 8, 2022

RAIS SAMIA AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA UJUMBE WA MFALME WA OMAN, MJINI ZANZIBAR, LEO

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Ujumbe Maalum kutoka kwa Sultan wa Oman ulioongozwa na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Sayyid Badr Hamad Hamood Al Busaidi Ujumbe huo ulipofika Ikulu Tunguu Zanzibar leo tarehe 08 Machi, 2022.


 

No comments:

Post a Comment

Tupia Comments👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages