Kamishna Mhifadhi Mkuu Tanapa, William Mwakilema wa pili kulia akikimbia mbio za kilometa tano baada ya kuzindua mbio hizi rasmi kwenye mashindano ya riadha. lengo kubwa ni kutangaza vivutio vya utalii wa ndani katika Wilaya ya Same Mkoani Kilimanjaro. (kushoto) ni Mkuu wa wilaya ya korogwe Basila mwanukuzi anaye mfuata ni Mkuu wa wilaya ya Same Edward Mpogoro sherehe hizo zimefanyika katika mbuga ya Mkomazi na kujionea vivutio mbali mbali vya utalii katika wilaya ya Same
Mkuu wa wilaya ya Same Edward Mpogoro akiwashukuru wadau mbali mbali waliochangia na kutitokeza kwa kuamasisha mbio hizo na kutangaza vivutio vya utalii katika wilaya yake. na kuwataka wananchi wote kwa ujumla kumuunga mkono Rais Samia kushirikiana naye kwa pamoja lengo ni kuijenga nchi yetu na kutangaza utalii wetu wa nchi (Picha na Ashrack Miraji)
Wadau mbali mbali wakijitokeza kumuunga mkono mkuu wa wilaya ya Same katika mbio za kilometea 5 had 10 lengo ni kutangaza utalii wa wilaya ya same kama mbuga ya wanyama mkomazi na milima ya shengena yenye vivutio mbalimbali vinapatikana katika wilaya hiyo
No comments:
Post a Comment
Tupia Comments👇