LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Feb 17, 2022

WAZIRI MASAUNI NA BALOZI WA CANADA NCHINI WAKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO JIJINI DODOMA, LEO

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni, akizungumza na Balozi wa Canada hapa Nchini, Pamela O'Donnel kuhusu masuala mbalimbali ya ushirikiano kati ya Tanzania na Canada, Ofisini kwake Jijini Dodoma, leo. (Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi).

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages