LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Feb 18, 2022

RAIS SAMIA AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA RAIS WA KAMISHENI YA UMOJA WA ULAYA, JIJINI BRUSSELS, UBELGIJI, LEO

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akiwa katika mazungumzo na Rais wa Kamisheni ya Umoja wa Ulaya Ursula von der Leyen, Jijini Brussels nchini Ubelgiji leo Februari 18, 2022. Rais Samia yupo Nchini Ubelgiji katika ziara ya kikazi.

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages