LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Feb 17, 2022

RAIS SAMIA AZUNGUMZA NA CHEMBA YA CBL-ACP JIJINI BRUSSELS NCHINI UBELGIJI, LEO

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Chemba ya Biashara, Viwanda na Kilimo ya Ubelgiji, Luxembourg, Afrika, Caribbean na Pacific (CBL-ACP), Jijini Brussels nchini Ubelgiji leo Februari 17, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akizungumza na Katibu Mkuu wa  Shirika la Forodha Duniani  (WCO) Brussels nchini Ubelgiji leo Februari 17, 2022.
Rais wa Chemba ya Biashara, Viwanda na Kilimo Tanzania (TCCIA) Paul Koyi (kushoto) akisaini Hati za Makubaliano na Makamu wa Rais wa Chemba ya Biashara, Viwanda na Kilimo ya Ubelgiji, Luxembourg, Afrika, Caribbean na Pacific (CBL-ACP) Amaury Luyckx  Februari 17, 2022 (Picha na Ikulu)

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages