Mbunge wa Mwanga, Joseph Tadayo akichangia bungeni Dodoma Februari 14, 2022 taarifa ya utekelezaji wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Katiba na Sheria amesema kuwa sheria zilizopitishwa na Bunge zimeweka mkakati kurahisisha mfungamano na Dunia kiuchumi, kisiasa na kidiplomasia.
Mhariri Blog ya Taifa ya CCM
0754264203
No comments:
Post a Comment
Tupia Comments👇