LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Feb 15, 2022

RAIS SAMIA AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA RAIS WA BARAZA LA UMOJA WA ULAYA MAKAO MAKUU YA BARAZA HILO, BRUSSELS, UBELGIJI, LEO

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akiongozana na Rais wa Baraza la Umoja wa Ulaya (EU) Charles Michel, baada ya kuwasili Makao Makuu ya Baraza hilo Brussels nchini Ubelgiji leo Februari 15, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akizungumza na Rais wa Baraza la Umoja wa Ulaya (EU) Charles Michel, baada ya kuwasili Makao Makuu ya Baraza hilo Brussels nchini Ubelgiji leo Februari 15, 2022
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akiwa katika chumba cha Mkutano kwa ajili ya mazungumzo na Rais wa Baraza la Umoja wa Ulaya Charles Michelleo tarehe 15 Februari 15, 2022, Makao Makuu ya Baraza hilo Brussels nchini Ubelgiji. (Picha na Ikulu).
 

No comments:

Post a Comment

Tupia Comments👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages