Mbunge wa Viti Maalumu, Jacqueline Msongozi akiuliza swali bungeni kwamba Serikali ina mpango gani wa kuhakikisha bei ya mbolea inashuka au kuweka ruzuku ili kuwapa unafuu wakulima na kuliepusha taifa na janga la njaa?
Msongozi alihoji hayo alipouliza swali la msingi wakati wa kipindi cha maswali na majibu bungeni Dodoma Februaei 14,2022.
IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDAMHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM
0754264203
No comments:
Post a Comment
Tupia Comments👇