Mbunge wa Njombe Mjini, Deodatus Mwanyika ameihoji serikali bungeni kuwa ni lini wachimbaji wadogo Njombe watasaidiwa? Serikali imejibu kuwa maeneo yaliyopimwa watagawiwa pamoja na kupatiwa mafunzo.
Mwany aliuliza swali hilo wakati wa kipindi cha maswali na majibu bungeni Dodoma Februari 16.22.IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDAMHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM
0754264203
No comments:
Post a Comment
Tupia Comments👇