Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Adolf Mkenda pamoja na kutaja mafanikio makubwa waliyopata kupitia Maadhimisho mbalimbali ya Wiki ya Ubunifu na Mashindano ya Kitaifa ya Sayansi, Teknolojia na Ubunifu (MAKISATU) amesema kuwa tangu waanze maadhimisho hayo, wamefanikiwa kuibua na kutambua wabunifu wachanga 1,785.
Mkenda ameyasema hayo alipokuwa akizungumza na vyombo vya habari kuhusu maandalizi ya maadhimisho hayo kwa mwaka huu katika mkutano uliofanyika jijini Dodoma Februari 16, 2022.
Naibu Waziri, Omar Kipanga akisisitiza jambo wakati wa mkutano huo.
Sehemu ya wanahabari maafisa
PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA
IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA
MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM
0754264203
No comments:
Post a Comment
Tupia Comments👇