Feb 16, 2022

RAIS SAMIA AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA TUNDU LISSU WA CHADEMA JIJINI BRUSSELS, UBELGIJI, LEO

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akifurahia jambo na Mwanasiasa ambaye pia ni mmoja wa Viongozi Wakuu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tundu Antiphas Lissu walipokutana katika Jiji la Brussels nchini Ubelgiji, leo, Februari 26, 2022.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akizungumza na Mwanasiasa ambaye pia ni mmoja wa Viongozi Wakuu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tundu Antiphas Lissu walipokutana katika Jiji la Brussels nchini Ubelgiji, leo, Februari 16, 2022.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan alipokuwa akisalimiana na Mwanasiasa ambaye pia ni mmoja wa Viongozi Wakuu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tundu Antiphas Lissu walipokutana katika Jiji la Brussels nchini Ubelgiji, leo,  Februari 16, 2022. (Picha zote na Ikulu)

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Pages