LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Feb 10, 2022

RAIS SAMIA AWASILI PARIS NCHINI UFARANSA

 




Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Viongozi mbalimbali mara baada ya kuwasili Paris nchini Ufaransa kwa ajili ya kushiriki Mkutano wa Wakuu wa Nchi na Serikali utakaojadili kuhusu rasilimali bahari Duniani.

No comments:

Post a Comment

Tupia Comments👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages