Mbunge wa Nkenge, mkoani Kagera, Florent Kyombo ameihoji Serikali bungeni, kuwa ni lini itawatambua watu wenye haki ya uraia ili wapate vitambulisho vya Taifa na kuwapa uraia watu ambao siyo raia lakini wameishi nchini zaidi ya miaka 15. IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA
No comments:
Post a Comment
Tupia Comments👇